Malipo ya haraka. Bei nafuu. Rekodi kamili. Onepay inaleta teknolojia ya kifedha kwa watu wa chini โ bila tabu, bila gharama kubwa.
Ada ya malipo ndani ya app
Digital - Hakuna cash hassle
Malipo ya papo hapo
Rekodi za biashara kamili
Malipo ya kisasa, bei nafuu, na uwezo wa kudhibiti pesa zako kikamilifu
Tuma pesa kwa wote ndani ya Onepay kwa TZS 10 tu. Hakuna ada kubwa, hakuna matatizo.
Malipo ya papo hapo yenye usalama wa hali ya juu. PIN yako, pesa zako, udhibiti wako.
Weka pesa kutoka M-Pesa, Mixx, Airtel, Halopesa. Toa pesa wakati wowote bila usumbufu.
Kila muamala unarekodi. Jua unatumia pesa vipi, unapata pesa vipi, kila wakati.
Lipa maduka, saloon, boda, daladala, shule, hospitali โ kila mahali kwa urahisi.
Pata cashback, discounts, na zawadi mara kwa mara unapotumia Onepay.
Anza safari yako ya uhuru wa kifedha kwa hatua 3 tu
Download app, jaza jina na namba ya simu. Anza mara moja!
Weka pesa kutoka M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, au Halopesa.
Tuma, pokea, lipa maduka โ yote kwa gharama ndogo sana!
Malipo rahisi + Rekodi za biashara = Mafanikio
Kila malipo yanarekodi moja kwa moja. Jua kiasi cha mauzo ya kila siku, wiki, mwezi.
Ona faida halisi ya biashara yako. Jua unaendelea vipi bila kuchanganya pesa za matumizi.
Toa risiti kwa wateja wako moja kwa moja. Professional, haraka, na salama.
Wateja wanapenda malipo ya digital. Onepay inakuwezesha kupokea pesa kwa urahisi.
Lengo letu ni kuondoa cash na kuingiza mfumo wa digital economy. Maisha ya bila cash โ ambapo kila mtu, kutoka boda kwa duka kubwa, anaweza kulipwa na kulipa kwa urahisi.
Hatuondoi mobile money. Tunaboresa huduma. Tunaweka nguvu mikononi mwa watu wa chini. Tunakuwezesha kuamua na pesa zako.
Duka zote zitakubali Onepay
Hospitali, shule, serikali
Bodaboda, daladala, teksi
LUKU, maji, DSTV, mishahara
Milioni ya Watanzania wanabadilisha jinsi wanavyotumia pesa. Wewe je? Anza leo, bure kabisa.